(0)

OASIS BOOKSHOP

Welcome to Oasis Bookshop, your ultimate destination for a diverse selection of books and quality stationery! Enjoy the effective best discount on your favorite titles and supplies, making it easier than ever to feed your passion for reading and creativity.

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Gredi ya 7, 8 na 9

Category:
Revision book
SKU:
20250000120
Price:
KSH1,063.00
{{variant.name}}:
{{opt.name}}
{{opt.value ? '' : opt.name}}
{{opt.value ? '' : opt.name}}
10
Description

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Gredi ya 7, 8 na 9 kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa ili kufanikisha kikamilifu ufundishaji na ujifunzaji wa fasihi simulizi katika kiwango hiki. Kitabu hiki kimeshughulikia kwa kina na kwa njia ya wazi na nyepesi tanzu na vipera vya fasihi simulizi katika mtaala wa Gredi ya saba hadi Gredi ya Tisa.

 

Katika kitabu hiki, utapata:

  • Ufafanuzi wa kina wa dhana ya fasihi kwa jumla na hususan fasihi simulizi.
  • Uchanganuzi wa kina wa tanzu na vipera lengwa vya fasihi simulizi na mifano maridhawa.
  • Tunga za kuchanga, kusisimua na vilevile kurahisisha ujifunzaji.
  • Shughuli zenye kushirikisha kikamilifu katika ujifunzaji.
  • Tathmini endelevu za kumwezesha mwanafunzi kujitathmini na kutathminiwa na wenzake au na mwalimu.
  • Tathmini ya mwisho wa sura ili kumpa mwanafunzi picha ya jumla kuhusu kiwango chake cha ufahamu wa utanzu na kipera husika.
  • Mazoezi murua yanayochochea ujifunzaji huku yakipima ngazi zote za maarifa au utambuzi.
  • Tathmini tamati yenye mazoezi na maswali anuwai yatayomwezesha mwanafunzi kupima umilisi wake na kumtayarisha kwa Tathmini ya Mwisho wa Gredi ya Tisa- KJSEA.
  • Majibu kwa Tathmini tamati ili kumwelekeza mwanafunzi kubuni mikakati ya kujiboresha.

 

Dkt. Assumpta K. Matei ni msomi mwenye tajriba pana katika masuala ya elimu, utafiti, ufundishaji na tathmini. Ana uzoefu mkubwa katika ufundishaji wa Isimu, Lugha na Fasihi ya Kiswahili nchini Kenya. Baadhi ya vitabu alivyoandika ni pamoja na: Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili na Zawadi ya Thamani (novela). Vilevile, amashirikiana na wengine kuandika vitabu kama vile: Jipe Moyo (Diwani ya Mashairi), Kamusi ya Watoto na Upeo wa Ufahamu na Ufupisho.

Our history

Oasis Bookshop began its journey in the heart of the digital age, founded by a group of passionate bibliophiles who recognized the growing demand for accessible literature and stationery supplies. Specializing in online sales, the shop seamlessly connects readers and writers alike, offering a vast selection of books ranging from contemporary bestsellers to timeless classics. With a commitment to quality, Oasis also provides a curated collection of stationery items that inspire creativity and organization. The company's user-friendly website ensures that customers can easily browse and purchase their favorites from the comfort of their homes. Through exceptional customer service and a love for literature, Oasis Bookshop has established itself as a beloved destination for book lovers everywhere.

Zero to One

#1 NEW YORK TIMES BESTSELLER • “This book delivers completely new and refreshing ideas on how to create value in the world.”—Mark Zuckerberg, CEO of Meta

The Compound Effect

No gimmicks. No Hyperbole. No Magic Bullet. The Compound Effect is based on the principle that decisions shape your destiny. Little, everyday decisions will either take you to the life you desire or to disaster by default.

Contacts

At Oasis Bookshop, we’re here to help you find the perfect books and stationery for all your needs. Feel free to reach out to us with any questions or inquiries, and our friendly team will be happy to assist you!

Name *
Email *
Message *

follow us through our social media

Contacts

+254759175870

oasisbookshopltd@gmail.com

2025