(0)

OASIS BOOKSHOP

Welcome to Oasis Bookshop, your ultimate destination for a diverse selection of books and quality stationery! Enjoy the effective best discount on your favorite titles and supplies, making it easier than ever to feed your passion for reading and creativity.

Kiswahili Fasaha Gredi ya 9

Category:
Grade 9
SKU:
20250000132
Price:
KSH980.00
{{variant.name}}:
{{opt.name}}
{{opt.value ? '' : opt.name}}
{{opt.value ? '' : opt.name}}
10
Description

ISBN: 9789914442953

 

Oxford Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.

 

Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9 kina:

  • Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha.
  • Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika.
  • Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa.
  • Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi.
  • Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa.
  • Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika.
  • Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.

 

Kila Kitabu cha Mwanafunzi katika msururu huu kina Mwongozo wa Mwalimu.

 

Oxford, mshirika wako katika ufanisi!

Our history

Oasis Bookshop began its journey in the heart of the digital age, founded by a group of passionate bibliophiles who recognized the growing demand for accessible literature and stationery supplies. Specializing in online sales, the shop seamlessly connects readers and writers alike, offering a vast selection of books ranging from contemporary bestsellers to timeless classics. With a commitment to quality, Oasis also provides a curated collection of stationery items that inspire creativity and organization. The company's user-friendly website ensures that customers can easily browse and purchase their favorites from the comfort of their homes. Through exceptional customer service and a love for literature, Oasis Bookshop has established itself as a beloved destination for book lovers everywhere.

Zero to One

#1 NEW YORK TIMES BESTSELLER • “This book delivers completely new and refreshing ideas on how to create value in the world.”—Mark Zuckerberg, CEO of Meta

The Compound Effect

No gimmicks. No Hyperbole. No Magic Bullet. The Compound Effect is based on the principle that decisions shape your destiny. Little, everyday decisions will either take you to the life you desire or to disaster by default.

Contacts

At Oasis Bookshop, we’re here to help you find the perfect books and stationery for all your needs. Feel free to reach out to us with any questions or inquiries, and our friendly team will be happy to assist you!

Name *
Email *
Message *

follow us through our social media

Contacts

+254759175870

oasisbookshopltd@gmail.com

2025