Hadaa Na Hadithi Nyingine

KSh 1,200.00

Tazama ulimwengu kwa jicho la ndani. Katika Hadaa, pata shauku pale Amadi anapotafuta fedha za kamari za mtandaoni agharimie maisha ya anasa anayoyatamani. Katika Mahali Majani ya Maboga Yanaponawiri, pata uzoefu wa maisha ya msichana mdogo aliyebaki kijijini pamoja na babu na nyanya yake wakati mama yake alienda shuleni mjini. Katika #Nyakati Njema Zaja, gundua iwapo urafiki wa kudumu unaweza kustahimili kejeli za mtandaoni na tofauti za tabaka. Jionee jinsi wanajamii wa pwani wanavyokabiliana na ghadhabu ya mungu wa bahari wa kale katika Mungu wa Baharini. Hadithi hizi na nyinginezo, zinachochea mawazo, zinasisimua na kuvutia mno. Ndizo utakazokumbana nazo katika mkusanyiko huu wa kipekee.

Guaranteed Safe Checkout
, , , , ,

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hadaa Na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
auto draftHadaa Na Hadithi Nyingine
KSh 1,200.00
Scroll to Top