Mkaidi

KSh 500.00

Baada ya vuta n’kuvute kwa muda, Vumilia anajikuta katika njiapanda kuhusu iwapo atafuata matakwa ya baba ama ndoto zake mwenyewe. Je, Vumilia akimkaidi baba yake na kufuata ndoto zake, atakuwa na uhusiano gani kati yake na familia yake? Ni nani atakayemlipia Vumilia karo?

Guaranteed Safe Checkout
, , , , ,

Vumilia amepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu baada ya kufua dafu katika mtihani. Baba yake, Bwana Hamaki, anataka asomee kozi ya udaktari. Baba anaamini kuwa madaktari wana mishahara minono na hadhi kubwa katika jamii. Vumilia naye ana mtazamo tofauti kuhusu kozi anayotaka kusoma. Anataka kozi inayohusiana na sanaa.

Baada ya vuta n’kuvute kwa muda, Vumilia anajikuta katika njiapanda kuhusu iwapo atafuata matakwa ya baba ama ndoto zake mwenyewe. Je, Vumilia akimkaidi baba yake na kufuata ndoto zake, atakuwa na uhusiano gani kati yake na familia yake? Ni nani atakayemlipia Vumilia karo?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mkaidi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
auto draftMkaidi
KSh 500.00
Scroll to Top