Mlemavu Sio Mimi-Tawasifu Gredi ya 10

KSh 423.40

Godfrey Ipalei, kama mhusika mkuu, anajiandikia tawasifu yake kuwatangazia walimwengu kuwa mtu yeyote anaweza kuyafikia malengo yake na kutimiza ndoto zake maishani licha ya changamoto za kimaumbile. Anasisitiza kuwa ulemavu ni wa fikira na mielekeo hasi. Msomaji anatiwa moyo kutambua na kurutubisha kipawa alichonacho.

- +
Guaranteed Safe Checkout
, , , ,

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mlemavu Sio Mimi-Tawasifu Gredi ya 10”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
chemistry today learner’s book grade 10Mlemavu Sio Mimi-Tawasifu Gredi ya 10
KSh 423.40
- +
Scroll to Top