James amepewa ufadhili wa mafunzo kupitia soka ili kwenda Amerika na wanakijiji wanamuonea wivu. Rafiki yake wa kike, Janny, hata hivyo anatilia shaka uhusiano wa umbali unaoweza kuathiri penzi lao. Janny alipotekwa nyara na viumbe wasiojulikana, James alijitosa katika msitu wa ajabu akihatarisha maisha yake na ndoto yake ya Amerika ili kumtafuta Janny.
Je,atafanikiwa kutimiza ndoto yake na kumpata Janny? Karibu katika ulimwengu wa SHAKA.







Reviews
There are no reviews yet.