,

Sikukuu Nzuri

KSh 238.00

Sikukuu Nzuri ni hadithi inayoangazia msamiati wa vyakula. Lola na wenzake wanajadili kuhusu chakula ambacho wangependa kula siku ya sikukuu. Je, watachagua vyakula gani?

Guaranteed Safe Checkout

Sikukuu Nzuri ni hadithi inayoangazia msamiati wa vyakula. Lola na wenzake wanajadili kuhusu chakula ambacho wangependa kula siku ya sikukuu. Je, watachagua vyakula gani?

Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sikukuu Nzuri”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Scroll to Top