Wosia Diwani ya Mashairi

KSh 500.00

Diwani hii ina mashairi ishirini na sita yaliyotungwa kwa ufundi na ustadi. Mashairi, kama tanzu ya fasihi, ni kioo cha jamii. Mashairi haya yaburudisha, kushawishi, kuasa, kufikirisha na hata kuchekesha. Kwa njia hii yanateka hisia za msomaji na kumchorea picha mawazoni ili aweze kuyafurahia. Aidha, yanafikisha ujumbe palipokusudiwa.

Guaranteed Safe Checkout
, , ,

Wosia—Diwani ya Mashairi ni mkusanyiko wa mashairi wa aina yake. Mashairi yenyewe yametungwa kwa kuzingatia mahitaji ya ushairi katika kiwango cha daraja ya awali (junior school).

Diwani hii ina mashairi ishirini na sita yaliyotungwa kwa ufundi na ustadi. Mashairi, kama tanzu ya fasihi, ni kioo cha jamii. Mashairi haya yaburudisha, kushawishi, kuasa, kufikirisha na hata kuchekesha. Kwa njia hii yanateka hisia za msomaji na kumchorea picha mawazoni ili aweze kuyafurahia. Aidha, yanafikisha ujumbe palipokusudiwa.

Watunzi wa Wosia—Diwani ya Mashairi wana uzoefu na wepesi wa kutunga mashairi. Diwani hii imejumuisha malenga na wasomalenga, wanawake kwa wanaume, wadogo kwa wakubwa, ili kudumisha usawa wa kijinsia, kimaeneo na kiumri. Watunzi chipukizi wamejumuishwa katika diwani hii kimakusudi pia ili kuwapa fursa ya kukuza vipawa vyao. Aidha, watakuwa kielelezo bora kwa wanafunzi ambao wana hamu ya kuwa watunzi wa mashairi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Wosia Diwani ya Mashairi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
auto draftWosia Diwani ya Mashairi
KSh 500.00
Scroll to Top